Inaonekana mojawapo ya vitu rapper Ja Rule aliutumia muda wake mwingi aliokua nao jela, ni kupiga serious nondo. Katika picha zake zilizoibuka Instagram, Ja Rule anaokena kuwa na misuli mikubwa zaidi kulivyo alivyokua akionekana kabla ya kwenda jela. Ila nadhani amezidisha kidogo sababu mshikaji mfupi kiaina. Mara nyingi huwa haipendezi kwa watu wafupi kuwa na misuli mikubwa kupita kiasi
Picha ya zamani: Angalia alivyokua kabla ya kwenda jela hapa chini. Nadhani hapa alipokuwa na mwili wa wastani unaoendana na urefu wake, alipendeza zaidi kuliko sasa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni