Alhamisi, 23 Mei 2013

Huyu Ndio Msanii maarufu kutoka.....aliye kumbwa na skendo ya kufanya video ya ngono


Ripoti ya kuvuja kwa video ya ngono ilioshirikisha msanii maarufu wa kike anaejulikana kama VJ kutoka nchini Nigeria na mwanaume mmoja asiyejulikana hivi karibuni imekuwa gumzo kwanye mitandao. Habari zilizo sambaa mwishoni mwa wiki na kuripotiwa na mwandishi Mashuhuri wa habari Abiola Aloba kutoka mtandao wa Maestro,zinadai kuwa mwandishi huyo ameona vidoe hiyo ya ngono ambao ndani yake yupo msanii marufu wa kike kutoka nchini humo ambae ni kipenzi kikubwa cha mashabiki na kuongeza kuwa kama mashabiki wake watafanikiwa kuona vidoe hiyo basi msanii huyo atajipotezea umaarufu wake wote alionao.
Akielezea kwa uchungu kuhusu msanii huyo mwandishi huyo alisema...msanii huyo Si mrefu sana,macho yake ya mviringo,anaonekana kama malaika ukimwangalia', jina lake, '...ana umbo kama' champagne ', hatuzungumzii' Brut au Rose.

'na hata familia yake inamahusiano na,' ... na inaonekana kushikamana na familia ya mtawala wa zamani, kwa jina ....'.

VJ Laura Monyeazo Abebe anajulikana zaidi kama Moet Abebe ni binti wa Yohana Abebe, ndugu wa marehemu mwanamke wa kwanza, Stella Obasanjo.

Ripoti zinadai kwamba VJ mwenye miaka 23 yuko katika uhusiano na mtangazaji maarufu wa MTV Base na (yeye, mara kwa mara huwa anaweka picha Instagram kwenye ukurasa wake, akimaanisha ni yeye).

Chanzo cha karibu na VJ kilithibitisha kwamba ni kweli mtu anae onekana katika video hiyo ni Vj mwenyewe lakini vidoe hiyo ni ya zamani.'Ni yake lakini ni video ya zamani , ilirekodiwa miaka ya nyuma.Nashangaa kwa nini watu wanaiongelea tena '

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni