Jumatatu, 24 Juni 2013

ANGALIA PICHA ZA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA BARNABA (BI MARIAMUA RUBETH)

Mama Diamond
 
Siku ya leo jumapili ndio ilikuwa siku husika kabisa katika kutoa heshima za mwisho kwa Bi Mariamu 



Arubeth aliezaliwa 4/12/1967 na kufariki tarehe 22/6/2013.
Zifuatazo ni picha za Mazishi Ya Mama mzazi wa Barnaba kuanzia nyumbani hadi makaburini....






















 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni