Jumanne, 4 Juni 2013

Hiace na Land Cruiser zagongana uso kwa uso na kuua watu 8+, Mbeya

Basi dogo aina ya Hiace iliyokua imebeba abiria, imegongana uso kwa uso na Toyota Land Cruiser majira ya asubuhi maeneo ya uyole wilayani Mbeya, na kusababisha vifo vya watu kadhaa.

Mashuhuda wamesema waliiona Land cruise ikiyumba yumba baada ya kumkwepa mkulima aliekuwa akivuka barabara na kuishia kuvaana na Hiace hiyo. Mpaka sasa watu zaidi ya nane wanaofiwa kufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa.


Miili ya watu waliofariki ikiwa imefunikwa
baada ya kutolewa ndani ya Hiace

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni