Jumanne, 4 Juni 2013

Kwasasa kinachoendelea barabarani ni wananchi wamezuia gari lililobeba mwili wa Albert Mangweha na wakiamuru jeneza lishushwe walibebe wao..msafara bado unaelekea Mwimbili..

Muda huu ni msafara wakumpeleka marehemu Albert Mangweha hospitali kuu ya Mwimbili kumpumzisha. Hapa barabarani ni wananchi wamezuia gari lililobeba jeneza na wakitaka litolewe nje walibebe mpaka hospital ya Mwimbili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni