Rapper Drake Kutoka Kundi la Young Money Cash Amefunguka Kuhusu msimamo wake wa mwisho kuhusu kumaliza beef yake na Chris Brown baada ya kutofautiana kutokana na mwanamke waliokuwa nae wote wawili, Baby Mama Rihanna aka Riri. Well kwenye interview na jarida la GQ Drake amesema “Mimi sio mtu wa kutatua matatizo uso kwa uso ila mtu akinipa changamoto, Niko tayari kwa lolote. Ningependa sana kuka chini na Brown tuyamalize ila haita tokea kabisa. Ikitokea tuko pamoja basi jambo baya sana litatokea.
Kwenye interview hii pia Drake ameficha tarehe ya kutoka kwa Album yake mpya ya Nothing Was The Same itakayo barikiwa na wimbo wa Started From The Bottom.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni