Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wanafunzi wa chuo kimoja maarufu Mkoani Mtwara hivi karibuni walifanya party ya ufuska na kuwaacha watu midomo wazi kwa mambo yaliyokuwa yanatendeka.
Party hiyo ambayo ilifanyika ndani ya pub moja mkoani humo ilihudhuriwa kwa wingi na wanafunzi wa chuo hicho ambao wengi wao walikuwa wamevaa kihasara ...
Pombe iko kichwani hapo....Kila kitu kwake ni sawa ..
Dada akiwa amezidiwa na pombe hadi kushindwa kunyanyuka...
Ndani ya pub hiyo, madenti hao walianza kwa staili ya kupiga pombe kabla ya michezo ya kifusika kuanza...
Pombe ilipowakolea, madenti hao waligawana, kila mtu mtu na wake na kuanza kubadilishana mate na michezo mingine ya michafu...
Pombe ilipowakolea, madenti hao waligawana, kila mtu mtu na wake na kuanza kubadilishana mate na michezo mingine ya michafu...
Dada akiwa amezidiwa na pombe hadi kushindwa kunyanyuka...
Hali hiyo ilizua tahamaki kubwa kwa wananchi waliokuwa eneo hilo huku wengine wakionekana kutoamini macho yao kwa vitendo vilivyokuwa vikitendwa na madenti hao...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni