Alhamisi, 6 Juni 2013

ANGALIA PICHA ZA M2 THE P AKIMUAGA RAFIKI YAKE ALBERT MANGWEA MJINI MOROGORO


M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni