Alhamisi, 13 Juni 2013

Msanii Langa Kileo (Maarufu kama Langa) amefariki dunia leo hii.

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.

R.I.P BROTHER

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni