Mwanamitindo maarufu na wa siku nyingi anaejulikana kama Amber Rose ambae amekuwa kimya sana tangu kujifungua mtoto wake na rapper Wiz Khalifa ameonekana na katika muonekano mpya kabisa …
Mama Sebastian amekuwa kimya kwa muda mrefu sasa hasa baada ya kujifungua The BASH ila sasa ameamua kurudi tena ambapo kwa sasa amerudi na style mpya ya muonekano wake especially nywele zake … ambapo ameziachia na kuwa ndefu tofauti na alivyozoeleka kwa kuwa na nywele fupi.
Check muonekano zaidi hapa chini …
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni