Jumatano, 5 Juni 2013

Wasanii na mashabiki wakiuaga mwili wa marehemu Ngwair Leaders Club

 
Msanii Fid Q akitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Ngwea 
Msanii Barnaba akitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Albert “Ngwair” Mangweha

Jerry Muro


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni