Jumamosi, 27 Julai 2013

VIDEO: Kutana na wanawake wa Nairobi ambao mchana ni makahaba, usiku ni wake za watu

Kituo cha TV cha K24 kimetayarisha hii stori inayoonyesha wake za watu jijini Nairobi, Kenya wanaofanya ukahaba mchana kweupe, na kurudi kwa waume zao usiku.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni