Mmoja wa mashabiki waliohudhuria concert ya Beyonce alishindwa kujizuia wakati mrembo huyo alipokua anamuimbia karibu yake. Beyonce alipogeuka kuelekea upande mwingine, jamaa akamchapa Beyonce matakoni. Mwanamuziki huyo mahiri wa R&B alimgeukia na kumuonya “ntawatuma(mabaunsa) wakutoe nje! Sawa?”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni