Jumanne, 11 Juni 2013

AJALI MBAYA YATOKEA CHUMA ROAD, MWENDESHA BODABODA AFARIKI PAPO HAPO. TAZAMA PICHA



Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka! Na Simba plastiki Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi roar na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,na asilimia mia dereva kafanya dharau saaana,maana alipinda gari ikiwa kwenye speed kubwa sana





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni