Jumanne, 11 Juni 2013

MCHUNGAJI AFUMWA AKIMTOMASA MUUMINI WAKE KWA USHAHIDI ANGALIA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA



Katika hali ya kushangaza mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta jina lake likitajwa sana ktk midomo ya waumini wake baada ya video yake aliyokuwa anafanya ufuska kuvuja na kusambaa ktk mitandao mbali mbali ya kijamii. Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa ktk ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua.

Tazama video ya mchungaji huyo hapa


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni